Breaking News
recent

Wizkid ku-Perform jukwaa moja na Alicia keys na Mchekeshaji Chris Rock.

Alicia keys hakuishia kucheza ojuelegba tu atashirikiana na staa wa Nigeria, Wizkid kuperform kwenye jukwaa moja pamoja na mchekeshaji mkongwe Chris rocks kwenye hafla ya 12 kuchangisha fedha kwa ajili ya kampeni ya ‘Keep child Alive
 Mchekeshaji Chriss Rocks 
Kampeni ya ‘Keep child alive’ ilianzishwa na Alicia keys mwaka  2003 ikiwa ni kampeni kubwa duniani ya kupunguza maambukizi ya virusi vya Ukimwi kwa watoto.
Hafla hiyo itafanyika tarehe 5 November mwaka huu huko Newyork Marekani.

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.