Davido ameeleza sababu za kusogeza mbele tarehe ya kuachia Album yake
mpya ‘Baddest’, Davido amedai sababu kubwa ni kampuni kubwa inayotaka
kuisambaza album hiyo.
Davido ambaye amehairisha kutoa Album hiyo zaidi ya mara nne, amesema
Album imeshakamilika lakini kuna kampuni kubwa ilimpigia simu siku
mbili kabla hajaiachia wakitaka kusimamia usambazaji wa album hiyo
“The album is done, everything, but funny enough, two
days before we were about to drop the album, we got a call from a very
big corporation that wants to be involved in the album distribution,
that’s why we pulled back.” Amesema Davido
“There’s no point doing things the same. If you are going
to do it big, there’s no point doing it at all. That’s why I chilled
back, and I want to let the big corporations do their work. But the
album is coming.” Aliongeza bila ya kusema ni kampuni gani zaidi ya kuiita ‘Big corparation’
Davido amewashirikisha mastaa wakubwa kwenye album hiyo ikiwemo Meekmill, Trey songz na Future.
World Of Pl@tnumz
Entertainment
Music Stories
kuna kampuni kubwa inataka kusimamia usambazi wa Album yangu ndio maana nimesogeza tarehe mbele – Davido
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment