“Imeshaisha haina maana tena” Wiz Khalifa alijibu kwenye mahojiano na jarida la GQ
Pia rapper huyo alipoulizwa kama alimuomba msamaha Kanye west alijibu,
“Sina sababu yoyote ya kumuomb msamaha.”Ugomvi wa Wiz khalifa na Kanye west ulianza mapema mwaka huu baada ya kanye west kubadilisha jina la album yake na kuita ‘Waves’, Wiz khalifa alimshutumu kuwa jina hilo aliliiba kutoka kwa msanii mwingine.
“Please don’t take the wave” Aliandika wiz khalifa “Max B is the wavy one. He created the wave. There is no wave without him.”
No comments:
Post a Comment