Diamond ameungana na mshindi wa India Priyanka chopra kuwania Tuzo ya ‘Best Worldwide Act: Africa/India’#MTVEMA | Congratulations to @DiamondPlatnumz who is the 'Best African Act'! pic.twitter.com/QrRz3qn3oO— MTV Base Africa (@MTVbaseAfrica) October 15, 2015
Mwaka jana Sauti soul waliibuka washindi wa kipengele cha African Act japo hawakufanikiwa kushinda Tuzo ya ‘World wide’
No comments:
Post a Comment