Mwishoni mwa mwaka jana Ommy Dimpoz aliahidi kuachia Album yake ya
kwanza mwaka huu, alitangaza kuwa Album hiyo ingetoka siku ya Valentine
lakini haikutoka kama ambavyo alitangaza, Mshindi wa Tuzo ya Afrimma
‘Best NewComer 2015′ Ommy Dimpoz ameibuka na kusema anaikumbuka ahadi
hiyo.
Ommy amedai kuwa sababu zilizofanya Album yake isitoke ni kampeni za
uchaguzi lakini amesema atatimiza ahadi hiyo mwezi december mwaka huu
“So far nina nyimbo nyingi ambazo nimezirekodi, kwasababu
kama nilivyoahidi tangia mwanzo nilikuwa na mpango wa kutoa album
kwaajili ya mashabiki, ambayo sasa hivi kutokana na vuguvugu la uchaguzi
ningekuwa tayari nimeshatoa lakini kutokana na kuupisha uchaguzi
nimefikiria kuiahirisha hadi December.” Amesema Ommy Dimpoz
World Of Pl@tnumz
Entertainment
Music Stories
Ommy Dimpoz kuachia Album ya kwanza mwezi December mwaka huu.
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment