Rapper Roma Mkatoliki amepanga kuachia ngoma yake mpya kesho, amesema
anaenda kuwasikilizisha Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) kabisa ili
wasije ifungia ikishatoka.
Kwa mujibu wa Post alioiweka amesema iwapo BASATA itampa Go ahead ataachia ngoma yake mpya kesho asubuhi
Siku chache zilizopita Roma alilalamika kuwa Tangazo la kuwa BASATA
limeufunguia wimbo wake wa ‘Viva Roma Viva’ limeuathiri uchumi wake
World Of Pl@tnumz
Entertainment
Music Stories
Naenda kuwasikilizisha BASATA ngoma yangu mpya kabisa, wakizingua Nawazingua – Roma Mkatoliki.
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment