Kuna vitu vingi humvutia mtu inapokuja swala la kumchagua mpenzi,
siwezi taja sifa zote, kila mtu anasifa zake na vigezo vyake, ila ngoja
tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye vipara.
Nikiongelea vipara naongelea wale walio na vipara asili, achilia
mbali wale wanaopenda kunyoa vipara japokuwa kuna baadhi ya sifa hapa
wanaweza wakawa nazo pia.
Muonekano wa kiume: wanaume wenye vipara wengi huwa na muonekana wa
kiume zaidi,muonekano nadhifu sina maana kama wanaume wengine walio na
nywele ndefu ama wastani hawana mvuto lah, nauongelea mvuto zaidi ama
mvuto wa kipekee.
Ujasiri: wanaume wa aina hii wengi huonekana ni wajasiri kwa muonekano wao tu, hii huwafanya kuwa kivutio kwa wanawake,
Wana hisia kali za kimapenzi: daktari kutoka Chuo
cha Yale Marekani , James B. Hamilton alisema katika utafiti wake
wanaume wengi walio na vipara miili yao huwa inazalisha mbegu nyingi za
kiume kuliko wanaume wenye nywele, japokuwa si kwa asilimia 100 alisema
pia uchunguzi zaidi bado unaendelea ili kutetea uchunguzi huo.
Hawana muda na Vioo: mwanaume anaefuga nywele ndefu
hutamani aonekane msafi na mtanashati kwahiyo hatokaa mbali na kitana
chake wala mbali na kioo chake, labda tu awe ana Rasta. Mwanaume mwenye
vipodozi vingi kwaajiri y aywele zake kumshinda msichana
Wastarabu: kuna utofauti wa muonekano kati ya
mwanaume mwenye kiduku, na suti na mwenye upara na suti watu hawa
wawili wanaweza kuonekana tofauti sababu tu ya nywele zao,muonekano wao
unaweza ongelewa tofauti mbele za watu.
Wapo tayari kwa mabadiliko: kama mtu ameweza
kukubali kwamba hawezi kuwa na nywele kama watu wengine na akakubali
hali yake, tofauti na wale wanaovaa kofia sana na wengine nchi za nje
wanavaa hata mawigi ili wasionekana hawana nywele. Lakini wapo wanao
ichukulia kama hali ya kawaida hawa ni zaidi ya wajasiri. Wanaweza
kuvumilia
Vin Diesel, L.L. Cool J, Bruce Willis, Michael Jordan and The Rock
(Dwayne jonhnson hawa ni Baadhi tu ya mastaa kutoka Marekani Ambao
wana vipara.
World Of Pl@tnumz
Lifestyle
Utafiti umeonyesha wanaume wenye vipara ni wanaume wenye mvuto zaidi kimapenzi?
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment