Breaking News
recent

Khloé Kardashian ampiga chini aliyekua Boyfriend wake ili kukaa na Lamar, amezungumza haya kwa mara ya kwanza.

Mdogo wa Kim Kardashia, Khloé Kardashian ameachana na aliyekua mpenzi wake kwasasa James Harden ilikuapata muda zaidi wa kumuangalia Baba watoto wake na Mme wake wa zamai Lamar Odom aliyepata matatizo ya afya baada ya kudaiwa kutumia kiasi kikubwa cha Cocain.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Khloé anadaiwa kuwa bado anampenda Lamar na inawezekana wakarudiana baada ya Afya yake kuimalika, Iliripotiwa kuwa Lamar alimwambia Khloé ‘I love you’ baada ya kupata haueni.
Katika hatua nyingine Khloé amefunguka kwa mara ya kwanza tangu Lamar apate matatizo ambapo amewashukuru familia, marafiki na mashabiki kwa support wanayoendelea kuionesha kipindi hiki kigumu

“The past week has been incredibly difficult. I am so thankful to family, friends, and fans, who have sent nothing but prayers and well wishes to Lamar. I also want to take a moment to thank everyone at Sunrise Hospital, including the amazing doctors and nurses for their kindness and diligent work. Under their amazing care, incredible strides have been made. You can never be prepared for an experience like this, but without the outpouring of love and endless prayers that Lamar has received and the strength I was given from my loved ones, it would have been difficult to endure. Thank you for your continued support. God is great!!!

Ameandika Khloé Kardashian kupitia Website yake mwenyewe.
Lamar ambaye kwa sasa afya yake imeanza kuimarika kiasi, alihamishwa kutoka hospitali ya Las Vegas alikokuwa amelazwa na kupelekwa Cedars-Sinai Hospital iliyoko Los Angeles akiwa na Khole. Huko anatarajiwa kupata matibabu mazuri zaidi.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.