Staa wa Nigeria, Davido hatimaye amekutana na shabiki yake aliyejichora tatoo ya sura ya davido kifuani kwake.
Muimbaji wa ‘Fans Mi’ alipost picha ya huyo jamaa akiiomba wamtafutie
ili aweze kukutana naye, Hatimaye amekutana nae, Davido amesema ni
mwanafamilia sasa huku akiwa ametupia cheni ya dhahabu ya HKN
World Of Pl@tnumz
Entertainment
Music Stories
Davido akutana na shabiki aliyejichora tatoo ya sura yake kifuani.
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment