Rappper wa Marekani, Future ameibuka na kukanusha tetesi zinazoenea kuwa ana uhusiano na Mama mtoto wa Tyga, Blac chyna.
Tetesi za wawili hao kuwa na mahusiano ya kimapenzi zilichochewa na
Blac chyna baada ya kuchora tatoo ya jina la Future mkononi na kuiweka
Instagram huku akiipa caption ya ‘Thought it was a drought’ ambayo ni
jina la wimbo wa Future.
Future ambaye alikua mchumba wa zamani wa Ciara amekanusha uvumi huo na
kusema kuwa kwasasa hayupo kwenye mahusiano, na amefocus kwenye vitu
vinavyompa furaha, Ametweet
World Of Pl@tnumz
Entertainment
Music Stories
Future amuumbua Blac chyna, akanusha kuwa na uhusiano nae.
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment