Actress wa filamu hapa Tz ambaye ni
kipenzi chake Vincent Kigosi maarufu kama ‘Ray’, Chuchu Hans ambaye
ameonekana kudumu katika penzi, takribani miaka 3 tangu penzi lao
lianze, wawili hao walifanikiwa kufungua na kampuni inayo julikana kama (
Chura) yaani Chuchu Ray. Chuchu Ameongelea kuhusiana na michakato yake ya filamu pamoja na sababu
inayomfanya aendelee kudumu kwenye penzi la ‘Ray’.
“In our film industry kumekuwa na
msongamano mkubwa wa mabifu baina ya wasanii kwa wasanii, na hii
inasababishwa na chuki binafsi kutoka kwa wasanii yaani, msanii hapendi
kuona msanii mwenzake akifanikiwa kitu ambacho ni chanzo kikubwa kinachorudisha maendeleo yetu nyuma. Though kuna changamoto lakini in my side
still bado na struggle kwenye muvi, miezi iliyobakia nimejipanga kufanya
vitu vingi sana, nataka kusaidia vipaji, kuanzisha ile project yangu ya
Tv Program, pia kuna muvi zangu nitazitoa hapa katikati, nitaanza na
filamu ya ‘Laura’ so kwa fans wangu wategemee a lot of things this year I
can’t talk much more than actions.
In case of love, Penzi letu lina matumaini
coz mimi ninapokuwa na mpenzi wangu, kiukweli huwa naweka maisha ya
usanii pembeni nabaki kama chuchu na dhani hiyo ni big Reason inayo
pelekea mimi kudumu katika Love na Ray”
No comments:
Post a Comment