Breaking News
recent

Sikupewa Tuzo yangu Backstage – Mshindi wa Tuzo ya ‘BET African Act’ afunguka kwa mara ya kwanza.

Msanii wa Dancehall kutoka Ghana, Stone bwoy amepinga tetesi zinazoenea kuwa Tuzo ya ‘Best African Act’ hutolewa Backstage.

Akifanya mahojiano na Radio Hitz FM ya Ghana, Stonebway amesema Alipewa stejini Tuzo yake japo ilirekodiwa na na kurushwa kupitia kipindi cha ‘Lala Anthony’ ambacho ni kipindi kinachotazwa zaidi London
So many people saw me on television, live on Lala Anthony, I don’t know any word which says prerecorded is backstageAlielezea Stonebwoy
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.