Breaking News
recent

MTV Base imetaja orodha ya MC’s wakali zaidi wa Afrika kusini mwaka 2014 ‘MTV Base Hottest MC’s 2014′

Vanessa Mdee hakukosea kumshirikisha rapper wa Afrika kusini K.O kwenye wimbo wake wa ‘Nobody but Me’ kwasababu kwa mujibu wa Kituo kikubwa cha runinga cha MTVBase ndio Rapper mkali zaidi .
K.O ameongoza orodha hiyo ya marapper 10 wakali zaidi wa Afrika kusini kwa mwaka 2014, akifuatiwa na Caspper nyovest huku namba tatu ikiwa imeshikiliwa na Aka
Vigezo vilivyotumiwa na majaji kupanga orodha hiyo ni “Lyrics, sales, style, impact, buzz and other intangibles that set one artist apart from the next.”
Jopo la majaji liliongozwa na Vj wa MTV Base Sizwe Dhlomo, wadau mbalimbali kutoka vituo vya radio na televisheni, pamoja na wasanii.
MTV Base presents The Hottest MCs of 2014:
1. K.O
2. Cassper Nyovest
3. AKA
4. Khuli Chana
5. Riky Rick
6. Reason
7. Kid X
8. Da Les
9. Kwesta
10. Maggz
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.