Mheshima Joseph Haule ameshinda kwa kura 32259 akiwa amemshinda mpinzani wake, Jonas Nkya wa CCM kwa kura 1834, Jonas amepata kura 30425.JIMBO LA MIKUMI… JOSEPH HAULE (CHADEMA) Kura 32259, Jonas NKYA (CCM) Kura 30425 Tumeshinda kwa tofauti ya kura 1834— Joseph Haule (@ProfessorJayTz) October 27, 2015
Prof. Jay ashinda ubunge jimbo la Mikumi.
Mwanahiphop nguli, Joseph Leonard haule aka Prof. Jay ameshinda ubunge jimbo la Mikumi, Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.
No comments:
Post a Comment