Taarifa iliyoripotiwa na Gazeti la Mwananchi imethibitisha
Balozi Juma Mwapachu kutangaza kujitoa CCM >>> “
MWAPACHU
ATOKA CCM: Kada wa CCM Balozi Juma Mwapachu leo ametangaza kujivua
uanachama wa chama hicho, adai chama kimepoteza dira, hajaamua kujiunga
chama kingine“>>> Hiyo ni nukuu ya stori iliyoripotiwa na gazeti la Mwananchi.
No comments:
Post a Comment