Boss wa HKN, Davido amehairisha kuachia album yake mpya ‘Baddest’
mara nyingi zaidi ya tunavyoweza kumbuka, na sasa Album hiyo haitatoka
mwaka huu tena kama ilivyotangazwa awali.
Uongozi wa HKN umesema tarehe mpya ya kutoka Album hiyo itatangazwa hivi karibuni.
Mwanzoni mwa mwaka huu, album ya Davido na Wizkid zilikua album
zilizosubiriwa kwa hamu zaidi na mashabiki lakini kwa bahati mbaya zote
hazitatoka mwaka huu.
World Of Pl@tnumz
Entertainment
Music Stories
Davido aahirisha tena kuachia album mpaka mwakani (2016)
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment