Staa wa Nana, Diamond Platnumz ametajwa kwenye orodha ya wasanii watako
perform kwenye Tamasha la ‘BET Experience Africa’ December 12
Johannesburg, Afrika kusini.
Diamond ataungana na Tamar Braxton, Flavour, Maxwell na wasanii wengine
wakubwa wa ndani na nje ya Afrika, waandaji wa Tamasha hilo walitangaza
kuwa mbali ya wasanii wa ndani ya Afrika, Mastaa wakubwa kutoka Marekani
watadondoka Afrika ikiwemo washindi wa Tuzo za Grammy.
Orodha ya wasanii watakaoperfom kwenye Tamasha hilo inaendelea kutangazwa.
No comments:
Post a Comment