Breaking News
recent

Picha: Tatoo ya Chris brown kichwani si kitu kwa hii ya rapper YG

Kama ulidhani Chris Brown, Birdman, Lil wayne au Gucci mane ndio wasanii wenye tatoo kubwa kichwani basi hujaiona hii ya rapper YG.
Rapa YG Amechora tattoo ya Bikira Maria kichwani kwake ikiwa na mstari kutoka kwenye Biblia uliosema “No weapon formed against me shall prosper.”
Kwasasa YG yupo kwenye maandalizi ya mwisho ya Album yake mpya  ‘Still Krazyna amefungua label yake mwenyewe ya muziki aliyoiita  4HUNNID
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.