Rapper 50 cent ambaye anaigiza kwenye tamthilia ya ‘Power’ siku zote
huwa hakosi cha kuwapondea wapinzani wake wakubwa "Empire", Sasa hivi ana
kila sababu ya kufurahi baada ya tamthilia hiyo kupoteza idadi kubwa ya
watazamaji.
Kupitia Instagram 50 cent ameweka picha inayoonesha kupungua kwa idadi kubwa ya watazamaji wa tamthilia ya Empire na kuandika “Don’t worry, Power Season 3 is going to blow you away. Now, they know not to mess with me”
Japo Empire ilianza kwa kishindo msimu wa pili kwa kupata zaidi ya
watazamaji Million 16, idadi imekua ikipungua kila baada ya episode huku
sababu kubwa ikidaiwa ni kutokana na kupromote mapenzi ya jinsia moja
na kuonesha watu maarufu wengi.
World Of Pl@tnumz
Entertainment
50 cent afurahia jinsi idadi ya watamazaji wa thamthilia ya empire inavyopungua.
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment