Breaking News
recent

Jose chameleon kutumbuiza jumamosi hii kwenye tamasha la ‘Mtoko wa Uchaguzi.


Jose chameleon atatumbuiza Jumamosi hii kwenye tamasha la ‘Mtoko uchaguzi’ kwenye viwanja vya Leaders pamoja na wasanii wengine ikiwemo Ruby, Madee, Young dee, Tundaman, Baraka da prince, Young killer, Mr.blu, Matonya na Rich Mavoko.
 Tamasha hilo litaanza saa kumi na mbili jioni na kiingilio ni shilingi 3000 tu na bia mbili bure.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.