Breaking News
recent

Picha: Barnaba aingia studio na Jose Chameleone.

Barnaba amerekodi wimbo mpya na Msanii nguli wa Uganda Jose chameleone kwenye studio za High table sound ambazo anazimili yeye mwenyewe.
Wimbo huo utatoka rasmi tarehe 30 mwezi huu na unaitwa ‘Nakutunza’
“With my Broo @jchameleone From #UG Asante sana for you’re Time Asante Sana Leo pale @Hightablesound Kiukweli can’t wait…. Kwakeli Song… #NAKUTUNZA with #Jozeeeeee NovemberLoading,” aliandika Barnaba kwenye picha aliyoweka Instagram.
Jose Chameleone alikuwepo nchini kwa ajili ya kutumbuiza kwenye tamasha la ‘Mtoko wa Uchaguzi’ lilofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.