Justin Bieber ameachia orodha ya nyimbo zitakazo kuwepo kwenye Album yake mpya ‘Purpose’ inayotoka mwezi ujao [Nov. 13]
Kwenye Album hiyo yenye nyimbo 19 Justin bieber amewashirikisha Nas,
Big sea, Travis Scott na mwanadada Ariana Grande kwenye Rmx ya what do
you mean?, Hadi sas zimeshatoka nyimbo tatu ambazo zinafanya vizuri
ikiwemo Where are you now, what do you mean? na Sorry.
Hii ndio orodha ya nyimbo
1. Mark My Words
2. Show You
3. What Do You Mean?
4. Sorry
5. Love Yourself
6. Company
7. No Pressure Feat. Big Sean
8. No Sense feat. Travis Scott
9. The Feeling feat. Halsey
10. Life Is Worth Living
11. Where Are U Now feat. Diplo and Skrillex
12. Children
13. Purpose
14. Been You
15. Get Used to Me
16. We Are feat. Nas
17. Trust
18. All In it
19. What Do You Mean (Remix) Feat. Ariana Grande
World Of Pl@tnumz
Entertainment
Music Stories
Justin Bieber aachia orodha ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye Album yake mpya ‘Purpose’
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment