Breaking News
recent

Mpenzi wa zamani wa Chris Brown, Karrueche Tran kutua Nigeria mwezi ujao.

Mpenzi wa zamani wa Chris Brown na mwanamitindo, Karrueche amepanga kutembelea Nigeria mwezi ujao .
Kupitia Mtandao wa Instagram, mwanamitindo huyo ametangaza kuwa atahost Pool Party itakayofanyika mji mkuu wa Nigeria, Abuja.
Abuja, Nigeria! I’ll be seeing you soon :) Follow @playnetworknigeria for invites and @georgeokoro! Pool Party turn up! #Africa.” Alithibitisha ujio wake
Karrueche alipata umaarufu mkubwa baada ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Staa wa muziki wa Marekani, Chris Brown baada ya kuachana na Rihanna, hata hivyo wameachana baada ya taarifa kupata mtoto wa kike na mwanamke mwingine
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.