Rapper Mabeste na mpenzi wake Lisa Fickenscher wamechora tatoo zenye majina yao, kila mmoja amechora tatoo ya jina la mwenzake
Kupitia Instagram Mabeste aliweka picha yenye tatoo ya jina la mtoto
wake , Kendrick na kuandika: Morning guyz @kendrick_mabeste, tattoo
nimemchora my Son kendrick coz ana history kubwa sana ktk maisha yangu
mpaka kuzaliwa kwake! Hadi leo hii!! Ni safari ambayo sitakuja kuisahau
kamwe ktk maisha yangu na wife wangu.
Mpenzi wake Lisa pia aliweka picha ya tattoo ya mpenzi wake na
kuandika: What Else Do I Need In This Life?? Thanks Bae!! I Love You
Every Second Of My Life Mabeste, I Thought Its A Joke!.
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment