Breaking News
recent

P.diddy kuanzisha kipindi cha Comedy kinachohusiana na Maisha ya kweli ya Msaidizi wake

Rapper, Producer, Muigizaji na mjasiliamali Sean Combs amejiunga na kituo cha runinga cha ABC kuandaa kipindi cha vichekesho kitakachohusu maisha ya kweli ya aliyekua msaidizi wake Sarah Snedeker.
Kipindi icho cha Vichekesho  ambacho kitarekodiwa na kamera moja tu tayari kimeandikiwa Script kitaonesha maisha ya binti aliyetoka kwenye maisha duni lakini anapata bahati ya kuwa msaidizi wa Billionaire mkubwa lakini anajikuta akiangukia kwenye maisha machafu ya ubadhirifu na ufisadi na vitu vingi vinavyomsahaulisha alipotoka.

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.