Justin Bieber ameachia wimbo wa Pili utakaokuwepo kwenye Album yake mpya ‘Purpose’ itakayotoka rasmi tarehe 13 mwezi November.
Wimbo unaitwa ‘Sorry’ umeandaliwa na Skrillex na Blood D producer wa
ghali zaidi Uingereza, Hii imekuja baada ya mafainikio makubwa ya wimbo
wake wa kwanza kutoka kwenye Album hiyo ‘What do you mean?’ Album iyo
mpya itashirikisha wasanii wakubwa ikiwemo Nas, Travis scott, Ed Sheran
na wengine .
Justin Biber atatumbuiza kwenye sherehe ya utoaji wa Tuzo za MTV EMA huko Millan Spain ambapo Diamond Platnumz anawania moja ya kipengele kwenye Tuzo hizo.
Justin Biber atatumbuiza kwenye sherehe ya utoaji wa Tuzo za MTV EMA huko Millan Spain ambapo Diamond Platnumz anawania moja ya kipengele kwenye Tuzo hizo.
No comments:
Post a Comment