Breaking News
recent

Kanye West aachia Documentary ya bila sauti ya nguo zake za ‘Yeezy season 2′

Album mpya ya Kanye west ‘Swish’ inaweza isitoke hivi karibuni kwasababu kwasasa amejikita kwenye masuala ya Mitindo, Kanye ameachia documentary fupi isiyo na sauti ya nguo za ‘Yeezy season 2′
Kwenye Documentary hiyo ya nguo za ‘Yeezy season 2′ ambazo zinatoka rasmi Alhamisi ya wiki hii, inaonesha baadhi ya hatua za utengenezaji wa nguo hizo lakini hakuna sauti yoyote inayosikika.
Documentary hiyo ameiachia kupitia tovuti yake, Itazame HAPA
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.