Video mpya ya Drake ‘Hotline Bling’ inaweza ikawa imekuja na matokeo hasi kwa upande mwingine, Imeripotiwa kuwa mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Matthew Russ amechoma nyumba ya aliyekua mpenzi wake kisha kupanda juu ya paa la nyumba hiyo kisha kuanza kucheza kama Drake kwenye video hiyo
Kwenye wimbo huo Drake anaimba mashairi kama mwanaume aliachwa na mpenzi wake ambapo kwa namna moja yanafanana na hali iliyomkuta jamaa huyo hadi kufikia hatua ya kuchoma nyumba ya mpenzi wake wa zamani.Drake drops hotline bling music video.. And now dudes settin they ex's house on fire and dancin on the roof pic.twitter.com/n2xCmLHEVN— Michael Guerrero (@_DJMIG) October 20, 2015
Hata hivyo Matthew Russ aliwekwa chini ya Ulinzi baada ya polisi kufika eneo la tukio.
No comments:
Post a Comment