Wakala wa Sam ametoa taarifa ya kifo icho lakini hajaelezea chanzo
“Familia ya Samuel Sarpong Jr inasikitika kutoa taarifa hizi za uzuni kuwa Samuel ametutoka, chanzo na mazingira ya kifo chake kwasasa yapo chini ya uchunguzi na hakuna maelezo ya ziada yanayojulikana kwasasa, taarifa za mazishi zitatangazwa, Familia inashukuru kwa Pole na maombi mnayoendelea kuwatumia”Mtangazaji huyo wa Uingereza mwenye asili ya Ghana amefariki akiwa na umri wa miaka 40 na amemuacha Baba yake Mzee Samuel Sarpong Sr. na dada yake June Sarpong
No comments:
Post a Comment