Breaking News
recent

French Montana na Fetty wap waachia Mixtape ya pamoja, Isikilize hapa.


French Montana & Fetty Wap - Coke Zoo

French Montana & Fetty Wap - Coke Zoo
French Montana na Fetty wap wameachia Mixtape ya pamoja, inaitwa ‘Coke Zoo’ usiku wa kuamkia leo.
Mixtape hiyo ambayo wamedai waliiandaa alipokutana kwenye tour ya Chris Brown ‘One of hell of a night’ ina nyimbo 13 na wamewashirikisha Diddy, Chris Brown, Lil Durk, Monty na Zack.
Hii ndio orodha ya nyimbo zilizopo kwenye Mixtape hiyo, Isikilize hapo juu
01. French Montana – First Time (Feat. Puff Daddy)
02. French Montana & Fetty Wap – Power
03. French Montana & Fetty Wap – Freaky (Feat. Monty)
04. French Montana & Fetty Wap – Whip It (Feat. Zack)
05. French Montana – Last of the Real Ones (Feat. Zack)
06. French Montana & Fetty Wap – Angel
07. French Montana & Fetty Wap – Sometimes
08. French Montana – Gangsta Way (Feat. Chris Brown)
09. Fetty Wap – Damn Chainz
10. Jamaican Trainer (Skit)
11. Fetty Wap – My Squad (Feat. Nitt Da Gritt)
12. French Montana – See Me (Feat. Lil Durk)
13. French Montana – Concentration
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.