Breaking News
recent

MeekMill aipondea video ya Hotline bling, Ajibu mistari ya ‘Back to back’ ya Drake.

Beef la MeekMill na Drake bado halijaisha, MeekMill ameibuka na kuipondea video ya Drake ‘Hotline Bling’ pia amejibu baadhi ya mistari iliyopo kwenye Disstrack ya Drake ‘Back to Back’ kwenye show ya ‘Power 99′ iliyofanyika Philidephia, Marekani.
MeekMill alitania jinsi Drake alivyocheza kwenye video yake ya Hotline bling “You ain’t gonna have me up here looking like Drake on this mother—ing stage. I’m a gangster … N—-‘s got two left feet,” Alisema Meek
Na kuhusu Mstari wa kwenye disstrack ya Back to Back, “Is that a world tour or your girl’s tour?” MeekMill alijibu  “Is that a joke? I got the hottest chick in the game, n—-!”
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.