Breaking News
recent

Justin Bieber awashirikisha Nas, Big sean na Travis scott kwenye Album yake mpya.

Nas, Travis scott na Big sean ni baadhi ya wasanii wakubwa wa Hiphop walioshirikishwa kwenye Album mpya ya Justin Bieber iliyopewa jina la ‘Purpose
Ikiwa imebaki mwezi mmoja hadi Album hiyo itoke (Nov. 13) Album hiyo mpya tayari inapatikana kwenye mtandao wa Itunes kwa ajili ya pre-order, Kwa ambao wametoa order zao wanaweza kuona Credits za watu walioshiriki kwenye uandishi wa Album hiyo japo haina maana kwamba walioshiriki kwenye uandishi lazima watakua wameingiza na vocal zao kwenye hizo nyimbo hizo.
                                                             
Tazama credits za watu wote walioshitriki kwenye uandishi wa Album hiyo, Travi$ Scott aka Jacques Webster , Big Sean aka Sean Anderson, na mtu ambaye ilikua ni vigumu kutegemea kama angeshiriki kwenye Album hiyo Nas aka Nasir Jones.
1. Justin Bieber, Jason Boyd & Michael Tucker
2. Justin Bieber, Josh Gudwin, Sonny Moore, Michael Tucker & Theron Feemster
4. Justin Bieber, Michael Tucker, Sonny Moore, Julia Michaels & justin tranter
5. Justin Bieber, Ed Sheeran & Benjamin Levin
6. Justin Bieber, Jason Boyd, James Abrahart, Andreas Shuller, Thomas Troelsen, James Wong & Leroy Clampitt
7. Justin Bieber, Jason Boyd, Dominic Jordan, Jimmy Giannos & Sean Anderson
8. Justin Bieber, Jason Boyd, Kenneth Coby, Jacques Webster & Mike Dean
9. Justin Bieber, Julia Michaels, Clarence Coffee Jr, Sarah Hudson, Sonny Moore & Ian Kirkpatrick
10. Justin Bieber, Jason Boyd & Mark Jackson
12. Justin Bieber, Jason Boyd, Sonny Moore, Brandon Green & Nico Stadi
13. Justin Bieber, Jason Boyd, Stephen Philibin, Eben Wares, Jeremy Snyder & Scott “Scooter” Braun
14. Justin Bieber, Jason Boyd, Josh Abraham, Brandon Green, Oliver Goldstein & Saul Alexander Castillo Vasquez
15. Justin Bieber, Jason Boyd, Brandon Green, Josh Abraham, Ely Weisfeld, Nico Stadi, Josh Gudwin & Saul Alexander Castillo Vasquez
16. Justin Bieber, Jason Boyd, Andre Harris, Donovan Knight & Nasir Jones
17. Justin Bieber, Jason Boyd & Mark Jackson
18. Justin Bieber, Jason Boyd, Mark Johnson, Mason Levy & Josh Gudwin

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.