Breaking News
recent

Common kuigiza kwenye filamu mpya ‘John wick 2′

Rapper kutoka Chicago, Common ataigiza kwenye filamu mpya ya John Wick 2 pamoja na staring wa filamu hiyo Keanu Reeves.
Director wa Filamu hiyo ni Chad Stahelski ambaye pia ameigiza kwenye John wick ya kwanza na inaanza kurekodiwa wiki hii. Hii ni Trailer ya John wick ya kwanza
Common kwasasa anafanya vizuri kwenye upande wa filamu hasa baada ya kuigiza kwenye filamu ya Selma, Run all night, Hell on Wheels na pia ameigiza kwenye filamu mpya ambazo bado hazijatoka ikiwemo Suicide Squad na Barbershop 3 ya Ice cube ambayo mastaa wengine walioigiza ni Nick Minaj, Queen latifah, Eve na wengine.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.