Breaking News
recent

Baba yake Beyone, Mathew Knowles asema kundi la Destiny’s child linakuja na Album mpya.


Mathew Knowles amedai kuwa kundi la Destiny’s child litaunganatena kurekodi Album yao mpya na member mmoja wa kundi hilo, Michelle Williams tayari amethibitisha.
Mathew Knowles anayesimamia kundi hilo amesisitiza kuwa mipango inaendelea kwa wasichana hao wakiongozwa na Beyonce, Michelle williams na Kelly Rowland kuingia studio na kurekodi Album mpya.
Mathew Knowles aliyewahi pia kuwa meneja wa Beyonce alifukwa kazi na binti yake mwaka 2011 aliliambi jarida la Heat kuwa alipokea email kutoka kwa Michelle williams aliyedai kuwa alikua tayari kuungana na wenzake kwa ajili ya kurekodi Album mpya. Tetesi za ujio wa Album mpya ya kundi la Destiny’s child zilianza kusika mwanzoni mwa mwaka huu.
Click Here To Watch The Video: https://youtu.be/sQgd6MccwZc
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.