Breaking News
recent

Lil wayne ajichanganya baada ya mume wa zamani Khole Kardashian, Lamar Odom kuzidiwa, aandika ‘R.I.P’

Lil wayne ni mmoja ya mastaa wakubwa waliopokea habari hiyo tofauti na ukweli halisi, alitweet “R.I.P LO,Dam man. My blessings to ur fam and friends.” lakini baada ya muda aligindua kuwa alikua amejichanganya, na kuwa mcheza kikapu huyo bado yupo hai, Alitweet tena  “Woop.”

Vyanzo mbalimbali vimedai kuwa Odom aliamua kubwia unga kwa kiasi kikubwa baada ya kupokea simu iliyomuudhi inayohusiana uhusika wake kwenye show ya Keeping up with the Kardashians hata hivyo wanafamilia hao wa The kardashians walifika Hospitalini hapo kumjulia hali.

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.