“Wimbo unaitwa tuachie na wimbo umeandikwa na Yamoto Band, mpaka sehemu yangu wameandika wao, nimefanya hivyo ilinipate kitu tofauti, hivi ni vitu vya kileo, vijana wanafanya vizuri so kwanini nisifanye nao kazi, nikama Micheal Jackson alivyofanya kazi na Akon” Alisema Dully
Katika hatua nyingine Dully amesema ukiachana na Yamoto Band, amefanya kazi na Vaness Mdee, Christian Bella na Mzee Yusuf.
No comments:
Post a Comment