Jay Z na Beyonce waliwahi kuachana mwaka mzima baada ya Tetesi za kuwa
Mmiliki wa Roc Nation na Mme wa Beyonce, Jay Z alikua na uhusiano wa
kimapenzi na Rihanna kuenea.
Mwandishi anayeandaa kitabu cha wasifu wa maisha ya Beyonce
(biography), J. Randy Taraborrelli amesema miaka 10 iliyopita ndoa ya
couple yenye nguvu zaidi ilivunjika baada ya Jay Z kudaiwa kuwa na
uhusiano wa kimapenzi na Rihanna ambaye alikua na miaka 17 kipindi
icho, Taraborrelli ambaye ameweka wazi kuwa kitabu chake bado hakijapata
ruhusa ya Beyonce mwenyewe kwasababu amedai kinaweza kuwakasilisha
Beyonce na Jay Z amesema tetesi hizo hazikua za kweli bali ilikua kick
kwa Rihanna kipindi icho japo watu wengi walipotezea lakini kwa upande
wa Beyonce ilikua na effect kubwa kiasi cha kuachana na Hov kwa mwaka
mzima.
Mwandishi amedai tukio la mwaka jana la Jay Z kupigwa kibao na Mdogo
wa Beyonce, Solange kwenye elevator ilikua ni kwasababu Jay Z alionesha
interest za kumtaka Rihanna
“People told me that there was a whispered argument that night having to do with Jay wanting to go to a party [for] Rihanna,” Amesema Taraborrelli
J. Randy Taraborrelli ni mmoja ya waandishi ambao waliowahi kuuza
kazi nyingi zaidi, amewahi kuandika Kitabu cha historia ya Michael
Jackson,
Madonna, Diana Ross na wengine wengi.
No comments:
Post a Comment