Wasanii wa kundi la muziki la Kenya ‘Sauti soul’ wamesema wimbo
waliofanya na mkali wa ‘Cheketua’ Alikiba upo njiani na utajumuishwa
kwenye Album mpya ya Sauti soul ‘Live And Die In Africa’
Sauti Sol ambao hadi sasa wamesha achia nyimbo sita zitakazokuwepo kwenye album ya tatu wamepost picha hiyo na kuandika “Kazi ipo King Kiba na Sauti Sol Muziki wa kiafrika #LiveandDieinAfrika #Kenya #Tanzania.”
Hadi sasa nyimbo zilizotoka ambazo zitakuwepo kwenye Album hiyo ni pamoja na Nerea, Sura yako, Isabella na zingine
World Of Pl@tnumz
Entertainment
Music Stories
Wimbo wa Sauti soul na Alikiba unakaribia kutoa, utajumuishwa kwenye Album mpya ya Sauti soul ‘Live And Die In Africa’
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment