Breaking News
recent

Blac Chyna achora tatoo ya jina la Future Je, wana uhusiano?

 Mama wa mtoto na Ex wa rapper Tyga, Blac Chyna amechora tatoo ya jina la Future ambaye pia ni Baba wa mtoto wa Ciara japo walishaachana.
Tetesi za wawili hao kuwa na uhusiano zimeanza hivi karibuni baada ya Blac Chyna na Future kuonekana pamoja mara kadhaa na tetesi hizo zimeongezeka baada ya Blacc chyna kuchora tatoo hiyo na kuiweka kwenye mitandao ya kijamii.
Kwenye picha hiyo Chyna aliandika ‘Thought it was a drought’ ambalo ni jina la moja ya nyimbo za Future.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.