Breaking News
recent

Ne-yo atua tena Afrika Mashariki kwa ajili ya Tamasha la ‘PopNJam’ litakalofanyika Uganda.

Staa wa R&B wa Marekani, Ne-yo ametua uwanja wa ndege wa Uganda, Entebbe airport usiku wa jana kwa ajili ya Tamasha la ‘PopNJam’ litalofanyika usiku wa leo nchini humo.
Hii ni mara tatu Staa huyo kuja Afrika, alikua mwezi wa 7 wakati wa tuzo za MAMA Afrika kusini, Akaja tena kwa ajili ya kipindi cha Coke studio Afrika nchini Kenya na mara hii ni ya tatu amekuja Uganda.




ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.