Diamond ameungana na mastaa wengine wachache wa Afrika ambao wamekua verified kwenye mtandao wa Instagram.
Diamond ambaye anafollowers zaidi ya Million 1 kwenye Instagram
kwasasa amekua verified kwenye account zake zote za mitandao ya kijamii,
ikiwa na maana ya kuwa anatambulika kimataifa.
Diamond ni staa wa pili Tanzania kuwa Verified Instagram, wa kwanza ni Flaviana Matata.
World Of Pl@tnumz
Entertainment
Music Stories
Picha: Instagram wameipa Tiki ya bluu Akaunti ya Diamond Platnumz (Verify)
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment