Breaking News
recent

Utaipenda hii perfomance ya Nick Minaj na Beyonce kwenye tamasha la Tidal usiku wa kuamkia leo.

Usiku wa kuamkia leo limefanyika Tamasha la Tidal X 10/20 kwenye ukumbi wa Brooklyn’s Barclays Center, Tamaaha hilo limeoneshwa kupitia mtandao wa unaotoa huduma ya kustream online wa Tidal, Tumekuwekea hapa performance ya Beyonce na Nick Minaj  ‘Feeling Myself’
Click Here To Watch The Video







ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.