Breaking News
recent

Joh Makini ataja nyimbo tatu mpya za weusi zinazofata, video mpya mbili zimerekodiwa Afrika kusini.

Joh makini ametaja majina ya nyimbo tatu mpya kutoka kwa weusi zitakazotoka hivi karibuni, nyimbo zote zimerekodiwa  chini ya Producer Nahreel.
Kwa mujibu wa Post aliyoweka Instagram nyimbo hizo ni pamoja na ‘ Dont bother’ ya Joh Makini mwenyewe aliyomshirikisha AKA wa Afrika kusini, ‘Baba swalehe’ ya Nikki wa pili na ‘Original’ ya G nako
Miezi mmoja uliopita Joh Makini na G nako walisafri kuelekea Afrika kusini ambapo walishoot video mbili ikiwemo ‘Dont Bother’ Ft AKA na ‘Original’
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.