Kesi hiyo ilifunguliwa na Osama Ahmed Fahmy ambaye ni binamu wa Baligh Hamdi wa Misri kwa madai ya kuwa vionjo vya wimbo wa binamu yake wa mwaka 1957, ‘Khosara khosara’ vilitumika kwenye wimbo huo wa Jay Z ‘Big pimpin’.
Jay Z ashinda Kesi ya haki miliki ya wimbo wake wa ‘Big Pimpin’
Jay Z na producer wa wimbo wa ‘Big Pimpin’ uliotoka mwaka 1999,
Timbaland wameshinda kesi iliyokua inawakabili kuhusiana haki miliki ya
wimbo huo.
Kesi hiyo ilifunguliwa na Osama Ahmed Fahmy ambaye ni binamu wa Baligh Hamdi wa Misri kwa madai ya kuwa vionjo vya wimbo wa binamu yake wa mwaka 1957, ‘Khosara khosara’ vilitumika kwenye wimbo huo wa Jay Z ‘Big pimpin’.
Jaji aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo Christina A. Snyder ametupilia
mbali kesi hiyo baada ya kusikiliza ushahidi kutoka kwa wataalam wa
sheria wa Misri, Hata hivyo upande wa walalamikaji umeonesha
kutoridhishwa na uamuzi wa jaji na wamesema watakata rufaa.
Kesi hiyo ilifunguliwa na Osama Ahmed Fahmy ambaye ni binamu wa Baligh Hamdi wa Misri kwa madai ya kuwa vionjo vya wimbo wa binamu yake wa mwaka 1957, ‘Khosara khosara’ vilitumika kwenye wimbo huo wa Jay Z ‘Big pimpin’.
No comments:
Post a Comment