Akiongea na mtandao wa TMZ, Rickross amesema Wale na MeekMill hawana tatizo lolote na mashabiki wao wategemee kusikia Toleo la nne la ‘SelfMade’ Album ya pamoja ya wasanii waliopo chini ya Maybach Music Group Hivi karibuni
“Young Meek Mill, young Wale — the family good, ya dig. Y’all know how I do it. All I know is winnin’. All I know is love, ya dig. So this what we gon’ do: We gon’ drop somethin’ new for y’all, we gon’ drop Self Made 4. We gon’ give y’all somethin’ special, sooner than you think,” Aliuambia Mtandao huo.
MeekMill na Wale walianza kulushiana maneno siku ya jana baada ya Wale kusema kuwa MeekMill hakujipanga kushindana na Drake, Wale alidai kuwa Meekmill alienda na penseli kwenye shindano la bunduki.
No comments:
Post a Comment