Breaking News
recent

Game ya Navykenzo yashika namba moja ‘Top 10 african chart’ ya TraceTv.

Ni ukweli usiopingika kuwa muziki wa Tanzania kwasasa unawanyima usingizi wasanii wengi wa nje,  wimbo wa msanii wa Tanzania kushika chart za juu kwenye vituo vikubwa ya runinga kama MTV Base, au Trace limeanza kuwa jambo la kawaida kwasasa.
Video ya wasanii wa kundi la Navy kenzo waliomshirikisha Vanessa Mdee ‘Game’ ndio video namba moja kwenye chart ya ‘Top 10 African Chart’ ya Trace Nigeria.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.