Baada ya tukio maalumu lililokuwa limewakusanya wadau mbalimbali wa
muziki maeneo ya Leaders Club siku ya jumamosi ya tarehe 17,October
2015,Usiku ambapo kulikuwa na show kali ya Msanii wa muziki ambaye
anafanya poa East Africa akiwa anatokea nchini Uganda maarufu kwa jina
la Jose Chameleone. Kulikuwa na tukio lingine la kuburudisha kutoka kwa
wasanii wa hapa bongo huko Back stage, wasanii hao ambao walionekana
kuinogesha back stage ni Barnaba pamoja Mr.Blue. Kilicho fanyika na
wasanii hao huko back stage ni kutunishiana misuli, na kuvimbia kitu
ambacho kilizua, vicheko kutokan kwa wasanii wengine ambao walikuwa eneo
hilo la tukio. Usikose kutembelea tovutiyetu kila wakati coz tunazo
dondoo nyingi za kukujuza.
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment