Chris Brown ni moja ya wasanii wenye mafanikio zaidi kwa miaka hii ya
Karne ya 21, Mtangazaji wa kipindi cha ‘American’s Got Talent, Nick
Cannon anamuona Chris Brown kama Jumla ya Michael Jackson na 2Pac kwa
pamoja.
“Fikiria ambavyo kila mtu alimshambulia Michael Jackson
na 2pac walivyokua hai, Sidhani kama nimeona mtu mwenye vipaji
aliyepitia mambo mengi magumu akashinda na akanaendelea kujifunza kama
Chris Brown” Ameandika Nick ambaye amedai mara nyingi watu huwa wanasubiri watu wakifa ndio wawape sifa zao.
World Of Pl@tnumz
Entertainment
Music Stories
Nick Cannon asema Chris Brown ni sawa na kujumlisha Michael Jackson na 2pac kwa pamoja.
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment