Breaking News
recent

Diamond ashinda Tuzo ya MTV EMA ‘Worldwide Act Africa/ India’

Nassib Abdul Juma aka Diamond Platnumz ametamba kifua mbele kwenye Tuzo ya MTV Europe Music Awards 2015 zilizotolewa usiku wa jana huko Millan, Italy baada ya kushinda kipengele cha ‘World Wide Act Africa/India’ .
Kwenye kipengele cha ‘Best World wide Act Africa/ India’ Diamond alikua anashindana na Mwigizaji na mwanamuziki maarufu wa India, Priyanka chopra aliyewahi pia kushinda Miss World mwaka 2000.
Diamond ni msanii wa kwanza Afrika kushinda Tuzo hiyo ya World wide Act tangu kipengele icho kianzishwe mwaka 2011.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.