Breaking News
recent

Picha: Mabeste na mpenzi wake Lisa wachora tatoo zenye majina yao.

 Rapper Mabeste na mpenzi wake Lisa Fickenscher  wamechora tatoo zenye majina yao, kila mmoja amechora tatoo ya jina la mwenzake
Kupitia Instagram Mabeste aliweka picha yenye tatoo ya jina la mtoto wake , Kendrick na kuandika: Morning guyz @kendrick_mabeste, tattoo nimemchora my Son kendrick coz ana history kubwa sana ktk maisha yangu mpaka kuzaliwa kwake! Hadi leo hii!! Ni safari ambayo sitakuja kuisahau kamwe ktk maisha yangu na wife wangu.
Mpenzi wake Lisa pia aliweka picha ya tattoo ya mpenzi wake na kuandika: What Else Do I Need In This Life?? Thanks Bae!! I Love You Every Second Of My Life Mabeste, I Thought Its A Joke!.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.